Blogger Tips And Tricks|Latest Tips For BloggersFree BacklinksBlogger Tips And Tricks

Tuesday, February 10, 2015

Wanafunzi walionusurika na moto shule ya sekondari ya Idodi warudishwa nyumbani mkoani Iringa.

Wanafunzi walionusurika na moto shule ya sekondari ya Idodi warudishwa nyumbani mkoani Iringa.
Uongozi wa mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na bodi ya shule ya sekondari ya Idodi mkoani humo wamewarudisha nyumbani watoto 190 wa kidato cha pili na cha nne ambao bweni lao lilishika moto na kuungua hapo jana na kuteketeza vifaa vyao vyote ili kupisha maandalizi ya kutafuata mahali pakuwahifadhi kwa muda wakati ufumbuzi wa kudumu wa tatizo lao ukiendelea.
Moto huo uliozuka majira ya saa nne na nusu asubuhi wakati wanafunzi wakiwa darasani uliteketeza bweni hilo linalokaliwa na wasichana wa kidato cha pili na cha nne shuleni hapo na kuwaacha wanafunzi hao wanaojiandaa na mitihani ya kidato cha pili na ule wa kumaliza kidato cha nne wakiwa hawana pakulala lakini zaidi hata vifaa yakiwemo madaftari yaliyojaa notes zao nayo yameteketea.
 
Mkuu wa mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza ameuagiza uongozi na bodi ya shule hiyo kumleta mtaalam wa mfumo wa umeme ili aweze kukagua mfumo wa umeme wa shule hiyo huku mwenyekiti wa bodi akieleza kuwa kutokana na tukio hilo wameamua pamoja na mambo mengine kuwaondoa shuleni hapo wanafunzi 192 waliounguliwa na vifaa vyao pamoja na kuwahamisha kwa muda wale wengine ambao bweni lao lilinusurika na moto huo lakini vifaa vyao vingi vikiharibika wakati wa zoezi la uokoaji.
 
Hii ni mara ya pili kwa bweni la wasichana kuteketea kwa moto katika shule ya sekondari Idodi ndani ya kipindi cha miaka mitano ambapo mwaka 2009 bweni lingine la wasichana katika shule hiyohiyo liliungua moto usiku wa manane na kuteketeza wasichana 12 waliokuwa wamelala kwenye bweni hilo kiasi cha kutotambulika.
 

Moto mkubwa umeteketeza ghorofa ya pili ya jengo la Consolidated Investment Tanzania Limited jijini Dar es Salaam.

Moto mkubwa umeteketeza ghorofa ya pili ya jengo la Consolidated Investment Tanzania Limited jijini Dar es Salaam.
Moto mkubwa umeteketeza kabisa ghorofa ya pili ya jengo la Consolidated Investment Tanzania Limited huku baadhi ya familia zinazoishi katika ghorofa ya kwanza ya jengo hilo wakiwemo watoto wakinusurika baada ya kuokokolewa na jeshi la polisi jijini Dar es Salaam.
Moto huo mkubwa ambao chanzo chake hakikufahamika mara moja umeteketeza kabisa ghorofa ya pili ya jengo hilo la Consolidated Investment Tanzania Limited lililopo katika mtaa wa Libya na msikiti Kisutu jijini Dar es Salaam huku mashuhuda wa moto huo wakionekana wakiwa makini kupiga picha katika simu zao pengine kutokana na kukuwa kwa teknolojia.
 
Jeshi la polisi lilifika mapema katika eneo la tukio wakiongozwa na kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova kwa nia ya kuimarisha ulinzi na kuzuia tabia iliyozoeleka ya baadhi ya wakazi wa jiji kutumia majanga ya moto na ajali kama fursa ya kujipatia chochote ambapo mashuhuda wamelizungumzia tukio hilo.
 
Akizungumza mara baada ya moto huo kuzima kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam amewaambia waandishi wa habari kuwa upelelezi wa kitaalam, juu ya chanzo cha moto huo bado unaendelea na kuongeza kuwa kwa kiasi kikubwa jeshi hilo limefanikiwa kudhibiti vitendo vya kihalifu kufanyika katika tukio hilo pamoja na kufanya uokozi.
 
Jicho la tatu la ITV likashuhudia namna zimamoto walivyokuwa wakihaha kupata maji ya kutosha ya kuuzima moto huo kabla ya kuongezewa nguvu na vikosi vya zimamoto na uokoaji kutoka bandari na uwanja wa ndege wakati katika majengo jirani kukiwa na matanki lukuki yenye maji yaliyokuwa yakimwagika bila ya matumizi jambo lililochangia kwa kiasi kikubwa jengo hilo kuendelea kuteketea licha ya uwepo wa maji hayo karibu kabisa ambayo endapo yangetumika huenda madhara katika ghoro hiyo ya pili yasingekuwa makubwa kiasi hiki jambo ambalo kamishna wa kikosi cha ukoaji na zimamoto analizungumzia.
 

Monday, February 9, 2015

Unaambiwa Penzi La Wema Sepetu na Ommy Dimpoz si Siri Tena, Wapiga Picha Wakiwa Bafuni , Wema Ndani ya Taulo

Unaambiwa Penzi La Wema Sepetu na Ommy Dimpoz si Siri Tena, Wapiga Picha Wakiwa Bafuni , Wema Ndani ya Taulo

Ule usema unaosema Lisemwalo lipo hatimae umekaribia kutimia , Baada jana kuwawekea picha hapa ya Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Wakikamuana Chunusi na watu wengi kutoa maoni kusema kuwa kuna kitu kinaendelea kati yao....

Wenyewe kwa kudhihirisha hilo usiku wa jana wamepost picha wakiwa pamoja bafuni huku wema akiwa ndani ya taulo jeupe na Ommy Dimpoz akinawa mikono kwenye Sinki ..Hii ni ushahidi tosha kwambo asilimia karibia 90 kuna kitu kinaendelea kati yao....

Monday, January 5, 2015

TAZAMA ALICHOKUWA ANAKIFANYA HUYU DENT (VIDEO)NI SHEEDAAHH NA UFUSKA

 TAZAMA ALICHOKUWA ANAKIFANYA HUYU DENT (VIDEO)NI SHEEDAAHH NA UFUSKA

Posted by joni fide at 6:03 PM 0 Comments


 

TAZAMA ALICHOKUWA ANAKIFANYA HUYU DENT (VIDEO)NI SHEEDAAHH NA UFUSKA
AKICHEZA VIDEO ZANGONO NA KUZITUPIA KWENYE MTANDAO

Sunday, January 4, 2015

MTOTO PENINA AKIWA ROCK CITY ANATAFUTA MARAFIKI WA KUCHAT NAO, NA MPENZI PIA INGIA HAPA

MTOTO PENINA AKIWA ROCK CITY ANATAFUTA MARAFIKI WA KUCHAT NAO, NA MPENZI PIA INGIA HAPA

Penina ndo jina lake anaishi Nyakato in da Rock city,,,,,,,,,anatafuta marafiki wa kuchat nao kutoka sehemu mbalimbali za nchi hii na nchi jilani,,,,,,,,,kama umempenda comment L (LOVE) halafu yeye atakuinbox namba yake ili akuchek whatsapp kama haujampenda comment D (DISLIKE) Yeye atakupotezea........................!!!!!!!!!!!! 
Pia usisahau kulike kuaacha namba ya simu uweze kuchati na wasomaji wengi sana

Saturday, January 3, 2015

MTOTO HUYU ANAITAJI MSAADA KUTOKA KWENU WATANZANIA NA WATU KUTOKA INJE YA TANZANIA

NI DOGO AMABEYE  AMEZAMILIA KUFIKA IKULI ILI AJE UKWA RAISI WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HII INAWEZEKANA TUKITOA UBINAFSI WA MADALAKA KWA MAANA IKULU  SIKU IZI IMEKUWA YAKURISISHANA KWA MAANA  BILA KUWA MTOTO WA MKUBWA FURANI HUWEZI KUINGIA IKULU  KWA MTAZAMO WANGU NAOMBA TUMPE SAPOTI DOGO HYU KWA KUMCHANGIA  KISI CHOCHOTE CHA FEDHA ILI AWEZE KUFIKIA MALENGO  KWA KUPITIA NAMAB ZA SIMU ZA MKONONI   KWA NJIA YA  TIGO PESA   NI 0714231828   AU KWA NJIA YA M PESA  0764411142   AU KWA  AIRTEL MONEY 0788643635   KWA SASA  ANAISHI DODOMA  CHINI YA UANGALIZI MKUBWA WA MZAZI WAKE AMABAYE HANA UWEZO WA KUMLEA  KWA HIYO WADAU TUWASILIANE KUPITIA NAMAB HIZO

Sunday, December 28, 2014

Chombezo: MPANGAJI
Sehemu: 14
Mtunzi: Frank Masai
Simu: 0717 738973
ILIPOISHIA...
“Huyu ni mgeni,ni mdogo wake George,katoka Dar. Kafika hapa jana usiku wa saa tatu. Anaitwa Prince”.Mzee yule akanitambulisha kwa wanawe ambao mimi nilishaanza kupiga nao stori kidogo kidogo.
“Karibu Prince”.Nikakaribishwa na mabinti wale kwa wao kupokezana kusema karibu Prince.
“Ehee. Prince. Hawa ni wanangu,huyu mkubwa anaitwa Farida Donyo,huyu anaemfata anaitwa Sheila naye ni Donyo na huyu wa mwisho anaitwa Lilian.
SONGA NAYO HAPA
Sasa kitu nilichoona kama mtego kwangu ni pale kifuani,ha ha haaa,nyie watu dunia hii wamebarikiwa sana kwa maujanja. Alikuwa hajafunga vifungo hadi juu,hivyo alifanya yale matiti yake makubwa yanaonekana vizuri sana. Yalikuwa yamevimba halafu yanang’aa kutokana na ule weupe aliokuwa amebarikiwa na MUNGU.
Nilibaki nimechutama pale nilipokuwa natafuta bandeji,lakini sikuchutama bure,bali nilikuwa namuangalia yeye na uzuri wake aliopewa na muumba.
“Mbona umetulia?”.Aliniuliza huku akiwa ametabasamu.
“Nakuangalia wewe unayeingia nyumba ya watu bila hodi”.Nikamjibu.
“Hamna bwana. Samahani kwa hilo. Vipi umepata bandeji”.Aliniuliza.
“Yap. Ndiyo hii hapa nimeipata”.Nilimjibu baada ya kufungua droo moja ya kabati lile lililobeba TV na kukuta hiyo bandeji.
“Okey. Sasa si unanisaidia kubandika?”.Aliniuliza swali la mtego huku anatoa ile khanga yake na kumbakiza na lile gauni la jinzi.
Teheee. Acheni Adam adanganyike tu! kwa Hawa, wanawake wanavishawishi bwana.
Unajua nini? Lile gauni alilivaa lilikuwa linaishia magotini.Kitendo cha kutoa khanga na kisha kukaa kwenye kochi,kilifanya lile gauni kuvutika kwa juu na kuonesha upaja wake ulionona kama umepakwa mafuta ya kula.
“Nitakubandika tu!Mbona rahisi”.Nilimjibu na kumfuata pale alipo na kuibandika ile bandeji.Wakati nambandika alikuwa natoa visauti fulani sijui ni vya raha au maumivu au uchokozi tu! sababu vilikuwa kama vina nisisimua kamanda. Nilipomuangalia usoni,alikuwa kalegeza macho utadhani ananyonywa pango.
Nilijifikiria kwanza kabla sijafanya maamuzi. Kwanza kabisa,ni siku ya kwanza tu!ndo nimefika,lakini huyu manzi anaanza kuleta ishu zake mazee.
Pili nikaona huyu anataka aniletee kesi kama za wakina Tuse,na zaidi nikaona labda ni kicheche hivyo anakitu anataka anifanyie au labda ni mtego ili nifumaniwe.
Mawazo hayo yalipitishwa kwa haraka na bunge la kichwa changu,na nikaona njia mbadala ni kumuacha kama alivyo,kisha nianze kutafuta marafiki ambao watanipa data za familia ile.
Niliichukua khanga yake na kumfunika maungio yake mazuri na mororo.Kisha kamanda nikatabasamu na kukaa karibu yake ili asihisi vibaya.
“Nikuwekee filamu gani”.Niliongea naye kwa upole ili ajisikie amani ya moyo.
“Hauna ile ya Romeo and Juliet?”.Aliniuliza huku akiwa na aibu kidogo.
“Ile ninayo. Kuna CD nilitoka nazo Dar,ipo hiyo. Si ile ya Leonard Decaprio?”Nilimjibu na kumuuliza ili nipate uhakika...
:: Chombezo linazidikunoga hakikisha haikupiti hata siku moja. Kwa wale wote ambao hutoa lugha chafu hapa uwanjani huwa na wa block kundini watu kama hao hawatufai katika kujifunza kupitia hadithi.
:: Endelea ku LIKE na ku COMMENT chombezo hili kali na lakusisimua.
:: Kwa wale watakaokuwa waki SHARE 100 wa kwanza nitawapa kipaumbele kwa kuwa TAG chombezo hili kila litakapokuwa likitoka litakuwa katika