Lasivyo:
KWA MFANO:
1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''
2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''
3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''
4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.
Ni mara chache
sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo
hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... n.k lakini THE
REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole
wangu, mambo mengine vipi?'' Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja,
either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie maada ili
kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako.
Share kwa rafiki zako 3 fasta tuwenao pamoja hapa
Share kwa rafiki zako 3 fasta tuwenao pamoja hapa