Blogger Tips And Tricks|Latest Tips For BloggersFree BacklinksBlogger Tips And Tricks

Friday, December 19, 2014

Salome alifukuzwa kazi na meneja wake kwa kuwa alikataa kufanya nae mapenzi.

Salome alifukuzwa kazi na meneja wake kwa kuwa alikataa kufanya nae mapenzi.
Siku moja alikuwa akitembea huku akiwa na mawazo jambo lililomfanya asigundue kuwa kuna gari lilikuwa likija na kwa bahati mbaya likamgonga na kumuua pale pale.
Baadhi wa mashuhuda walidai kuwa salome alikuwa akisoma ujumbe mfupi kwenye simu yake na kushindwa kuliona gari.
Baada ya kuchukua simu walisoma ujumbe huo na uliandikwa, "MENEJA WA OFISI YAKO YA KWANZA AMEHAMISHIWA KITUO KINGINE HIVYO NJOO JUMATATU URIPOTI NA KUWA MENEJA MPYA WA TAWI HILI"
Hebu fikiria, alipata bahati ya kupandishwa cheo na siku hiyo hiyo akawa marehemu.
.
NAKUOMBEA UNAYESOMA UJUMBE HUU SIKU ZA FURAHA ZISIKUKUTE UKIWA KABURINI- KATIKA JINA LA YESU- AMEN- !!..
Chukua sekunde yako ya muda huu kuandika neno AMEN ukiwa una maanisha na kumwomba MUNGU wako azidi kukupa ulinzi katika maisha yako. Acha kama unafikiri Mungu hana nafasi maishani mwako
Gonga Like & Share habari hii kwa marafiki